Kesi ya washukiwa wanne wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililofanyika nchini Kenya mwaka jana, imeanza rasmi nchini humo.
Mashahidi wa wawili wa kwanza walifika mahakamani kabla ya kesi kuahirishwa hadi Alhamisi.Wamekanusha mashitaka.
Kundi la wapiganaji wa kiisilamu al-Shabab lilikiri kufanya shambulizi hilo.
Maafisa wakuu nchini Kenya wanaamini kuwa washambuliaji wote wanne walifariki wakiwa ndani ya jengo hilo
No comments:
Post a Comment