Wednesday, January 8, 2014

Joakate Katika Movie Mpya

 Joakate Katika Movie Mpya 'Mikono Salama' Ndani kuna mastaa kibao kama 'JB , Irene Uwoya.




okate, Jacob Stephen, Irene Uwoya, Single Mtambalike, Adam Kuambiana, Stela Mjata, Mzee Ibrahim, Hashim Kambi na Bi Star...hebu tuache masihara jamani, kuna jina la star gani ambalo halipo hapo? Kuanzia wale wa kizazi kileee, hadi hiki cha sasa?

Vichwa hivi adhimu, vinakutana katika mzigo huu unaokwenda kwa jina la Mikono Salama. Tunajua hali ilivyo katika magereza zetu nyingi nchini, sasa inakuwaje mtu ajihisi yuko salama wakati yuko gerezani? Kwanini hasa iwe hivyo? Onja uhondo hapa wakati unasubiri mzigo kamili kushuka hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment