Kero ya Kufungiwa magari katikati ya Jiji n.k,Serikali yatoa Tamko la Kusitisha Jambo hilo kutokana na Rushwa na Utapeli
MKUU wa mkoa wa Dar Es Salaam ametoa tamko hilo kwa kusema kwamba kazi hiyo inatakiwa kufanywa na manispaa ya jiji pekee na si vinginevyo,Kinyume na hapo Atakaekutwa akifanya hivyo atachukuliwa hatua za kisheria. Taarifa hii imeletwa kwenu kwa hisani ya masainyotambofu.com kupitia Runinga ya Channel ten asubuhi ya leo alhamisi January 9/2014
No comments:
Post a Comment