Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein naye alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo kati ya Simba na KCC.…
Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein naye alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo kati ya Simba na KCC.
TIMU ya KCC ya Uganda leo imetwaa Kombe la Mapinduzi baada ya kuilaza Simba SC bao 1-0 katika fainali iliyopigwa Uwanja wa Amaan mjini Unguja!
No comments:
Post a Comment