Monday, January 13, 2014

MJERUMAN AWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA KWA WANAWAKE



 Mchezaji bora wa kike wa dunia ambaye amechukua nafasi hiyo baada ya kubeba tuzo ya Ballon D’or leo jijini Zurich, Uswiss ni kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani, Nadine Angerer


Nadine ambaye pia ni kipa bora wa Ulaya, aliiwezesha Ujerumani kubeba ubingwa wa Ulaya baada ya kutoa penalti mbili katika fainali dhidi ya Norway.


No comments:

Post a Comment