Sunday, January 19, 2014

Ujumbe wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Oman Wawasili Zanzibar.

Balozi wa Tanzania Nchini  Oman Balozi Ali Ahmeid Saleh , akiongoza Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Oman, wakiwa na Kiongozi wao Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Oman (OCCI) wakiwasili katika bandari ya Zanzibar wakitokea Dar-es-Salaam, kwa ziara ya siku tatu kuonana na Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Zanzibar kuimarisha Umoja wao ulioundwa hivi karibuni baina ya Oman na Tanzania. 
Wafanyabiashara wa Oman wakipokelewa Balozi wa Mdogo wa Oman Zanzibar na Wenyeji wao Viongozi wa Jumuiya ya Wafayabiashara wa Zanzibar, wakiwasili kwa Boti ya Kampuni ya Azam Kilimanjari 4.
Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakiwapokea Wageni wao katika Bandari ya Zanzibar

No comments:

Post a Comment