Monday, January 13, 2014

KIKOSI BORA CHA DUNIA HIKI HAPA


HIKI KILIKUWA NDIYO KIKOSI BORA CHA DUNIA KABLA YA KILE KITAKACHOTANGAZWA LEO...

Pamoja na kwamba kumekuwa na uficho kiasi fulani, dalili zinaonyesha kikosi bora cha dunia kitakachotangazwa kwenye tuzo za Ballon D'or zinazoendelea jijini Zurich Uswiss, kitakuwa hakina hata mchezaji mmoja kutoka England.

Tayari safu bora ya ulinzi ilitajwa bila ya kuwa na mchezaji hata mmoja kutoka England.

SALEHJEMBE imekipanga kikosi hicho bila ya woga na dalili zinaonyesha kitakuwa kama ifuatavyo:
Kikosi Bora cha Dunia:

1. Manuel Neuer (Bayern Munich-BUNDESLIGA), 2. Dani Alves (Barcelona-LA LIGA), 3. Philipp Lahm (Bayern Munich-BUNDESLIGA), 4. Sergio Ramos (Real Madrid-LA LIGA)   5.Thiago Silva (PSG-LEAGUE 1), 6. Xavi (Barcelona-LA LIGA), 7. Frank Riberry (Bayern Munich-BUNDESLIGA),8. INIESTA (Barcelona-LA LIGA), 9. Zlatan Ibrahimovic (PSG-LEAGUE 1), 10. Lionel Messi (Barcelona-LA LIGA) na Cristiano Ronaldo (Real Madrid-LA LIGA).

No comments:

Post a Comment