Ukungu huu mkubwa unatokana na hali ya hewa
Unaweza ukasema mbele hapapitiki lakini ni hali halisi ya ukungu mkubwa
Hii ni miti kama inavyo onekana, imepandwa kwa umahili wa hali ya juu
Ndani ya msitu huo wwenye Kilometa zaidi ya 10, Magari hupita bila wasiwasi kwa sababu ni eneo lililo salama
Hata watembea kwa miguu wanapita katika msitu huo
Hili ni eneo la wazi kiasi katika msitu huo
Tumekuwa tukisikia sana kuhusu pori kubwa na lenye miti mingi kulipo yote tanzania ambayo ni ya kupandwa, lakini hatujapata nafasi ya kuliona.
Pori hilo kubwa lipo Barabara ya kimataifa inayotokea Dar es salaam Kuelekea Zambia ni Msitu wa Sao Hill uliopo Iringa Tanzania. Msitu huu una miti ya kupandwa kwa ajili ya kutengenezea karatasi na
matumizi ya mbao.
No comments:
Post a Comment