Sunday, January 19, 2014

LIGI KUU NCHINI UINGEREZA CHELSEA YAIBAMIZA MANCHESTER UNITED 3-1


 Samuel Eto'o akishangilia bao lake la ufunguzi kwa timu yake ya Chelsea dhidi ya Manchester United leo hii ambapo Chelsea imeshinda goli 3-1 dhidi ya Man U.
Kulalamika ni moja ya mchezo ili kuleta unafuu fulani kwa refa,pichani wachezaji wa Manchester United wakimlalamikia refa jambo fulani ila leo haikuwa siku yao wamelala 3-1 dhidi ya Chelsea.

No comments:

Post a Comment