Thursday, January 9, 2014

Ulisikia Basi la Mtei Kuchomwa Moto hii leo?

Ulisikia Basi la Mtei Kuchomwa Moto hii leo?Hizi hapa ndio Picha za Tukio hilo.



HII ni habari mbaya kwa taifa lenye sifa ya amani Tanzaia, Ila watu wake wageuka wanya na kuchukua maamuzi mikononi pasipo kufata sheria.

Leo asubuhi Bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya njia panda mnadani Singida baada ya Bus hilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kusababisha vifo vya abiria 4 waliokuwa kwenye pikipiki, Ambao ilisemekana kuwa wote wanatokea familia moja ambapo wawili walifariki papo hapo na mmoja njiani na aliyefia hospitali inasemekana ni baba.

No comments:

Post a Comment