Monday, January 13, 2014

tukio la utoaji wa tuzo ya Fifa Ballon d’Or ulivyoenda...

1
 
2
Pele alipewa tuzo ya hesima (Prix d’Honneur)3
Zlatan Ibrahimovic ameshinda tuzo ya goli bora4
Kocha wa mwaka Jupp Heynckes5
Kikosi cha Fifa Pro XI

1. Manuel Neuer (Bayern Munich-BUNDESLIGA), 2. Dani Alves (Barcelona-LA LIGA), 3. Philipp Lahm (Bayern Munich-BUNDESLIGA), 4. Sergio Ramos (Real Madrid-LA LIGA)   5.Thiago Silva (PSG-LEAGUE 1), 6. Xavi (Barcelona-LA LIGA), 7. Frank Riberry (Bayern Munich-BUNDESLIGA),8. INIESTA (Barcelona-LA LIGA), 9. Zlatan Ibrahimovic (PSG-LEAGUE 1), 10. Lionel Messi (Barcelona-LA LIGA) na Cristiano Ronaldo Sergio Ramos (Real Madrid-LA LIGA).6
7
Jupp Heynckes kocha bora wa kikosi cha wanaume8
9
10
11
12
        
UEFA+-+Germany+Women+-+Nadine+Angerer
Huyu ndiye Mchezaji bora wa kike wa dunia wa tuzo ya Ballon D’or leo jijini Zurich, ni kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani anaitwa Nadine Angerer.
0,,16989205_303,00
Nadine Angerer ambaye pia ni kipa bora wa Ulaya aliiwezesha Ujerumani kubeba ubingwa wa Ulaya baada ya kutoa penalti mbili katika fainali dhidi ya Norway.


Hatimaye baada ya kusubiri kwa muda mrefu tukio la utoaji wa tuzo ya Fifa Ballon d’Or limefanyika na Cristiano Ronaldo kushinda tuzo hiyo.

Cristiano Ronaldo ambaye alienda na mwanae kupokea tuzo hiyo alikuwa anategemewa na watu wengi kushinda usiku wa leo akiwashinda Messi na Libery.

Baada ya kupoke tuzo hiyo alisema , ”There are no words to describe this moment,”.

“First of all I have to say a great thanks to all of my team-mates with the club and the national team. Without all of their efforts this would not have been possible. I am very happy, it is very difficult to win this award.”

“Everybody that has been involved with me on a personal level I have to thank. And I don’t want to forget to mention Eusebio.”

“My girlfriend, my friends, my son. It is a tremendously emotional moment. All I can say is thank you to everybody that has been involved. And if I have forgotten anyone, I’m sorry, but I’m just deeply moved.”

No comments:

Post a Comment