Hii ni Barabara Mpya kabisa ya Magari yaendayo kwa kasi Jijini Dar es salaam ambapo sasa Baadhi ya maeneo yamegeuka Madampo ya kutupia takataka kama inavyo onekana pichani.
Huu ni Uchafu
Hakuna anaeijali barabara hii kila kona uchafu
Takataka zinatupwa hovyo hovyo
Swali ni Je Jiji mnaliona hili mnafumbia macho au hamuoni?
Hii ndio Dar es salaam yetu
No comments:
Post a Comment