Dogo Aslay Ndani ya Penzi Zito na Naima
Jamani Mahaba Kitu Kingine , Mwanzo tulijua Nuhu Mziwanda pekeake ndio mwenye ujasiri huu wa kujichora tattoo ya mpenzi wake ..lakini sasa list imeongezeka , Mrembo Naima nae avunja Ukimya , Ajichora Tattoo ya mpenzi wake Dogo Aslay .Naima ni yule binti aliyekuwaga kwenye beef na Wema Sepetu wakimgombania CK.
No comments:
Post a Comment