Tunasikitika kutangaza kifo cha Ndg. Deus Mtambalike kilichotokea tarehe 15/01/2014 katika hospitali ya Milpark nchini Afrika ya Kusini.
Katika uhai wake marehemu aliwahi kuwa Mkuu was wilaya katika sehemu mbali mbali nchini zikiwamo Ngara, Igunga, Tunduru, Ludewa na Muleba.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya jumapili 19/01/2014 Nyumbani kwa marehemu Kimara Bonyokwa jijini Dar es salaam majira ya saa sita mchana Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Amina |
No comments:
Post a Comment