Monday, February 10, 2014

WAFANYABIASHARA IRINGA.DAR ES SALAAM,RUVUMSA WAGOMA, KISA MASHINE ZA TRA


ir_c2a4c.jpg
Wafanyabiashara wa mjini Iringa wamegoma asubuhi hii wakishinikiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iondoe mashine za EFD kwa madai kwamba wananyonywa na ni wizi mtupu.Maduka karibu yote ya Miyomboni yamefungwa na wafabishara hao wameandamana kuangalia yale ambayo hayajafungwa ili washinikize wenzao wayafunge kwa nguvu.
ir2_00d85.jpg
ir3_967cf.jpg
ir4_2c4be.jpg
ir5_5e733.jpg
ir6_f3ef0.jpg
ir7_d7347.jpg

No comments:

Post a Comment