Thursday, February 13, 2014

ARSENAL, MAN U NGOMA DROO

Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akijaribu kuipa ushindi Arsenal bila mafanikio.
Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akiondoa mpira wa kichwa uliopigwa na mshambuliaji wa Man U, Robin Van Persie.
Antonio Valencia wa Manchester United akiokoa hatari golini kwake kwa kichwa

No comments:

Post a Comment