Monday, February 10, 2014

JUST IN:Mkali wa Alaza Roho Diva Loveness ametangaza Penzi Jipya na KING CRAZY GK

Diva katika mahusiano na mkogwe huyu wa bongofleva

Mtangazaji wa clouds Fm ,  Loveness Malinzi ‘Diva’ ametangaza uhusiano wake na nguli wa mziki wa bongofleva, King Crazy GK. Diva ameamua kuweka wazi couple hii kupitia mtandao wa kijamii wa instagram baada ya kuweka picha yake na GK huku akishushia na maneno kadhaa ya kumpamba .
Diva Crazy GK

Diva-Instagram-Crazy-GK

No comments:

Post a Comment