Wednesday, February 12, 2014

Thamani ya Chupa ya Plastic ilivyotoa ajira kwa Vijana Kadhaa Nchini Tanzania


Vijana wamegeuza makazi hapa kwenye eneo la Kukusanyia Chupa chafu za Plastic kwaajili ya Kuziuza Kiwandani,Picha hii imepigwa Ilala Jijini Dsm.Hili ni Sehemu tu ya eneo linalotumika na Vijana walioamua Kujiajiri kuokota Chupa za Plastic mitaa mbalimbali ya Jiji la Dsm na kuzipeleka Kiwandani tena kwaajili ya kuzalisha Chupa Zingine Mpya.Chupa hizi wanaziridisha kiwandani kwa Malipo,Wanapima Kilo ya Mzigo na wanaelewana Bei.Tunafuatilia Kujua Kilo moja ya Mfuko wa chupa za Plastic unauzwa Shilingi ngapi

No comments:

Post a Comment