Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa katika shule ya msingi ya Manyara Ranchi wilayani Monduli ambayo inafadhiliwa na shirika la kimataifa ya African Wildlife Foundation.Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo duniani.
No comments:
Post a Comment