WORLD CUP 2014(FIXTURE)
FIXTURE WORLD CUP
Mambo yashakuwa mambo baada ya FIFA kutoa Fixture ya kombe la Dunia, Na kutoa maswali mengi kwa wapenzi wa soka kuwa ni nani atachukua kombe hilo la Dunia kutokana na timu zote wamejiandaa vya kutosha, Mabantanyau hatuna mengi, Tunasubili tu huko mwakani mwezi wa sita ndio tutapata jibu sahihi kuwa nani ni Bingwa wa Dunia katika nishani za Soka.
No comments:
Post a Comment