MABANTANYAU
Jembe,Pina Gweda,Mchambia Line,Dulla wakiwa katika pozi la pamoja kuwakilisha Mabantanyauwakijiandaa na shoo za usiku mnee itakayofanyika jumamosi hii huko Kiwalani katika ukumbi wa Gaza Ambapo wataongozana na wasanii wenzao kutoka sehemu mbali mbali katika jiji la Dar es salaam
No comments:
Post a Comment