Sunday, December 1, 2013

GAME OVER V/S WAKOTA




Mashabiki haoooo

Jana juma mosi katika viwanja vya voice Migombani kiwalani kulikuwa na Mchezo mkali sana wa mpira wa miguu huku wakishindania jezi full na pesa laki 5 Timu ya GAME OVER V/S WAKOTA Ambapo ilianza majira ya saa kumi jioni 2lishudia mpila mkali kipindi cha kwanza ambacho GAME OVER Walitawala mpila kwa kipindi kilefu licha ya kukosa magoli kadhaa ambayo mpaka kipindi cha kwanza wangekuwa wanaongoza lakini la hasha mambo hayakuwa hivyo maana mpaka kipindi cha kwanza kikimalizika waliuwa suluhu bin suluhu 
Hata hivyo kipidi cha pili kilianza kwa kasi zaidi na kusababisha wachezaji wa Watoto wa kota kuanza kucheza rafu na Matokeo yake refa alimzawadia mchezaji wa WAKOTA Kadi nyekundu(HUSSEN DOSSA)Kwa kucheza rafu mbaya na kupelekea kupata kadi hiyo hata hivyo mchezaji huyo hakulidhika aliinua mkono yake na kumtwanga ngumi kali mwamuzi wa pambano hilo ambapo mwamuzi makonde yalipomzidi aliamua kumaliza mechi na ushindi ukawa umekwenda kwa GAME OVER Na Fainali itapigwa jumapili ya wiki hii Saa kumi Jioni Ambapo GAME OVER Watapambana na MANOVA ambao walipita kwa kuifunga timu ya GANDI Nusu Fainali.

No comments:

Post a Comment