Thursday, December 26, 2013

HATARI HATARI NYAMA YA NGULUWE

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

 kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo huingia kichwani na kusababisha kifafa.


No comments:

Post a Comment