Tuesday, December 31, 2013

CHICHI MAWE KUZICHAPA NA MKENYA

CHICHI MAWE, MKENYA ULIONGONI MSASANI CLUB

TAREHE31/12/2013


ImageProxy1 9e57a

Amukulu kushoto kutoka Kenya akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho kwenye ukumbi wa Msasani Club, Dar es .

RASIM YA KATIBA MPYA (TZ)

 

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba, akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete, rasimu ya mwisho ya Katiba mpya, Dar es Salaam leo baada ya kumaliza kazi ya kukusanya maoni ya wananchi. Picha ya chini:Warioba akimkabidhi Rasimu ya Katiba, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. 

 Rais Jakaya Kikwete akiwakabidhi Rasimu ya Katiba Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho (kulia), Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (katikati) na Waziri Mkuu wa zamani, Cleopa Msuya (kushoto) baada ya kukabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, Dar es Salaam
 Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimkabidhi Rasimu ya Katiba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. 
 Baadhi ya viongozi wa vyama wakiwa katika hafla hiyo. 
 Viongozi wastaafu na waasisi wa Tanzania, wakiwa wameshikilia rasimu hiyo, baada ya kukabidhiwa na Rais Jakaya Kikwete jana. Kutoka kushoto ni Balozi mstaafu Job Lusinde, Sir George Kahama, Hassan Nassor Moyo na Jaji mstaafu, Mark Bomani na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi, Mirisho Sarakikya
Baadhi ya wananchi na wanazuoni wakiwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa Rais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein, rasimu ya mwisho ya katiba.

Thursday, December 26, 2013

HATARI HATARI NYAMA YA NGULUWE

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

 kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo huingia kichwani na kusababisha kifafa.


Wednesday, December 25, 2013

LIGI KUU ENGLAND (EPL)

Ligi itaendelea tena Desemba 26 wakati Timu zote 20 zitakaposhuka dimbani na kisha kucheza Mechi nyingine Desemba 28 na 29 na pia kutinga tena hapo Januari Mosi kwa Timu zote 20 kucheza.

LIGI KUU KUU ENGLAND

Alhamisi Desemba 26
15:45 Hull V Man United
18:00 Aston Villa V Crystal Palace
18:00 Cardiff V Southampton
18:00 Chelsea V Swansea
18:00 Everton V Sunderland
18:00 Newcastle V Stoke
18:00 Norwich V Fulham
18:00 Tottenham V West Brom
18:00 West Ham V Arsenal
20:30 Man City V Liverpool
Jumamosi Desemba 28
West Ham V West Brom
18:00 Aston Villa V Swansea
18:00 Hull V Fulham
18:00 Man City V Crystal Palace
18:00 Norwich V Man United
20:30 Cardiff V Sunderland
Jumapili Desemba 29
16:30 Everton V Southampton
16:30 Newcastle V Arsenal
19:00 Chelsea V Liverpool
19:00 Tottenham V Stoke
Jumatano Januari 1
15:45 Swansea V Man City
18:00 Arsenal V Cardiff
18:00 Crystal Palace V Norwich
18:00 Fulham V West Ham
18:00 Liverpool V Hull
18:00 Southampton V Chelsea
18:00 Stoke V Everton
18:00 Sunderland V Aston Villa
18:00 West Brom V Newcastle
20:30 Man United V Tottenham

MERRY X MASS TO ALL

MERRY X MASS


Familia ya mabantanyau kwa pamoja tunawatakia kheri ya sikukuu ya x mass mungu awabaliki wotetusheherekee kwa amani na utulivu


Saturday, December 21, 2013

MTANI JEMBE (SIMBA V/S YANGA)

Habari Kuu Simba Sc Tanzania Bara Yanga SC — 21 December 2013

Live: Nani mtani Jembe, Yanga 1-3 Simba

Mchuano huu ukiwa umeaandaliwa na wadhamini wa timu hizo, Kilimanjaro lager,umechezwa leo majira ya saa kumi jioni na kushudia SIMBA kuibuka mbabe kwenye mpambano huo na kuwaacha watani wao YANGA kilio kisicho kuwa na mbembelezaji



Wednesday, December 18, 2013

OKWI ASAJILIWA YANGA SC

OKWI ATUA YANGA

E-mailPrintPDF
 VIEWED 4321 TIMES 

Emmanuel Okwi akiweka alama ya Dole Gumba mbele ya Mjumbe wa Kamati ya Mashindao Musa Katabaro (kushoto) wakati akisaini mkataba wa kuichezea Yanga mpaka mwishoni mwa msimu wa 2015/2016. kulia ni mwanasheria/meneja wa Okwi Bw. Edgar Agaba
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Arnold Okwi ambaye alikua akiichezea klabu ya SC Villa ya Uganda.

Yanga SC imempata mshambuliaji huyo msumbufu kwa mabeki wengi kwa mkataba wa miaka miwili na nusu ambapo kwa sasa ataitumika klabu yake mpya ya watoto wa jangwani mpaka mwishoni mwa msimu wa 2015/2016.

Dirisha dogo la usajili nchini Tanzania limefungwa leo usiku wa Disemba 15, 2013 saa 6 usiku ambapo mabingwa wa kihistoria  klabu ya Yanga wamekalilisha taratibu zote za usajili ikiwa ni pamoja na kupata hati ya uhamisho wa kimataifa maarufu kama ITC.

Usajili wa Emmanuel Okwi unaifanya timu ya Yanga kufikisha idadi ya wachezaji  watano wa kimataifa wakiwemo mganda mwenzake Hamis Kiiza, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite na Didier Kavumbagu.
Uongozi wa Yanga unawaomba wanachama, wapenzi na washabiki kuwapa ushirikiano wachezaji wote wa zamani na wapya waliosajiliwa katika dirisha dogo la usajili.

Wachezaji wengine waliosajiliwa hivi karibuni katika kuimarisha kikosi cha Yanga ni mlinda mlango Juma Kaseja ambaye alikuwa mchezaji huru na Hassan Dilunga aliyesajiliwa kutoka timu ya Ruvu Shooting.

Baraka Kizuguto

 Afisa Habari – Young Africans SC
Disemba 15, 2013. 

Thursday, December 12, 2013

MIGOMBANI FC

UWANJA WA YOMBO SHULENI
Mchambia Line Akiwa na Mdoli George Poggy Wakiwa na Mbwa begani kwa ajili ya kushangia Chama La MIGOMBANI FC ambayo walikuwa wanacheza na NATIONAL kutoka maeneo ya Mwani Halisi Ambapo Pambano hilo liliisha kwa MIGOMBANI FC kuibuka na ushindi wa Goli moja kwa Mtungi na kusababisha vurugu iliyopelekea mpaka Ugomvi kutokea na kusababisha uhalibifu wa mali na majeraha makubwa kwa waliopatwa na kipigo.

 KUMBUKUMBU NZURI

UEFA CHAMPION LEAGE (16 TEAMS)



GROUP A:

  1. Manchester United
  2. Bayer Leverkusen
GROUP B:
  1. Real Madrid
  2. Galatasaray
GROUP C:
  1. Paris Saint-Germain
  2. Olympiakos
GROUP D:
  1. Bayern Munich
  2. Manchester City
GROUP E:
  1. Chelsea
  2. Schalke 04
GROUP F:
  1. Borussia Dortmund
  2. Arsenal
GROUP G:
  1. Atletico Madrid
  2. Zenit St Petersburg
GROUP H:
  1. Barcelona
  2. AC Milan

Here are the teams going to the UEFA Europa League tournament:

  1. Shakhtar Donetsk
  2. Juventus
  3. Benfica
  4. Viktoria Plzen
  5.  FC Basel
  6. Napoli
  7.  FC Porto
  8. Ajax Amsterdam

Topics: UEFA Champions League

Friday, December 6, 2013

WORLD CUP 2014(FIXTURE)



FIXTURE WORLD CUP

Mambo yashakuwa mambo baada ya FIFA kutoa Fixture ya kombe la Dunia, Na kutoa maswali mengi kwa wapenzi wa soka  kuwa ni nani atachukua kombe hilo la Dunia kutokana na timu zote wamejiandaa vya kutosha, Mabantanyau hatuna mengi, Tunasubili tu huko mwakani mwezi wa sita ndio tutapata jibu sahihi kuwa nani ni Bingwa wa Dunia katika nishani za Soka.

Thursday, December 5, 2013

R.I.P MANDELA(SIMBA WA AFRICA)

R.I.P 

Mabantanyau tupo pamoja na wananchi wote ulimwenguni hususani South Africa ambao wameondokewa na kiongozi wao shupafu ambae aliipigania South Africa na Africa kwa ujumla Ambaye aliyulikana kwa kuwa mstari wa mbele kutetea mambo ya Africa na Duniani kwa ujumla (SIMBA WA AFRICA).

Wednesday, December 4, 2013

GETTO LIFE

REAL LIFE GETTO

Kili Zombi(KZ) akiwa ameshika tama akitafakali sababu maisha yashakuwa magumu afanyeje ili aondokane na umaskini

KLN MIGOMBANI

MIGOMBANI

Mwema(Cholicho)akiwa amekaa chini akisikiliza mawili matatu kutoka kwa mtu wa pembeni yake kabla ya mechi ya Game over na Wakota

KLN

KLN

Wakatikati ni Chunda badd wakwanza kushoto ni Dk Dunia wa mwisho kulia ni.Chazz Grass wakiwa wametulia maeneo ya KLN Wakipiga story mbili tau

EAST BONDE

EAST BONDE

Chazz Grass akiwa na Ze Kick wakijiachia maeneo ya East bonde KLN Wakiwa katika pozi la kujiachia kama wanavyoonekana hapo juu.

GETTO

MABANTANYAU

Pina gweda akiwakilisha mabanta akiwa katika pozi kali maeneo ya KLN.

BANTANYAU ESTATE

MISOSI

Jembe mzazi akilekebisha  nyama kwa ajili ya chakula cha mchana ndani ya
Bantanyau Estate. 

Tuesday, December 3, 2013

EAST AIRTEL

EAST BONDE

WEEKEND

Wakiwa katika maeneo ya kujidai mabanta wanajiachia na kuendelea kula bata pembezoni
 mwa jiji la Dar Es Salaam,wakipiga story mbili tatu.

Monday, December 2, 2013

MAHOMESSS

                               

JEMBE MZAZI














MAZOEZI POPOTE

Jembe mzazi kutoka Bantanyau akifanya mazoezi kuweka mwili fiti usiweze shambuliwa na 
magonja ya ajabu ajabu.

EAST BONDE

Baada ya Mazoezi

Mabantanyau baada ya mazoezi ya kurap HIPHOP Wakipiga picha kwa ajili ya kumbukumbu
hapo kushoto ni PINA GWEDA Kulia ni CHAZZ GRASS

EAST BONDE (KLN)

STORY ZA KIJIWENI

Mabantanyau na washikaji wengine wakibadilishana mawazo hapa napale kuhusu haya na yale yanayotokea kwenye jamii hii ya kitanzania na kutoa mawazo yao nini kifanyike kuokoa Taifa hili katika Rushwa, Ufisadi na Umaskini.

MAZOEZI KWA AFYA

MABANTANYAU

wakiwa katika moja ya mazoezi kipindi cha jioni na hao unao waona hapo ni Pina na Jembe toka Bantanyau wakipasha misuli moto maana Maisha na Mazoezi.

REAL LIFE GETTO

MABANTANYAU

Jembe,Pina Gweda,Mchambia Line,Dulla wakiwa katika pozi la pamoja kuwakilisha Mabantanyau
wakijiandaa na shoo za usiku mnee itakayofanyika jumamosi hii huko Kiwalani katika ukumbi wa Gaza Ambapo wataongozana na wasanii wenzao kutoka sehemu mbali mbali katika jiji la Dar es salaam

 WOTE MNAKALIBISHWA

Sunday, December 1, 2013

GAME OVER V/S WAKOTA




Mashabiki haoooo

Jana juma mosi katika viwanja vya voice Migombani kiwalani kulikuwa na Mchezo mkali sana wa mpira wa miguu huku wakishindania jezi full na pesa laki 5 Timu ya GAME OVER V/S WAKOTA Ambapo ilianza majira ya saa kumi jioni 2lishudia mpila mkali kipindi cha kwanza ambacho GAME OVER Walitawala mpila kwa kipindi kilefu licha ya kukosa magoli kadhaa ambayo mpaka kipindi cha kwanza wangekuwa wanaongoza lakini la hasha mambo hayakuwa hivyo maana mpaka kipindi cha kwanza kikimalizika waliuwa suluhu bin suluhu 
Hata hivyo kipidi cha pili kilianza kwa kasi zaidi na kusababisha wachezaji wa Watoto wa kota kuanza kucheza rafu na Matokeo yake refa alimzawadia mchezaji wa WAKOTA Kadi nyekundu(HUSSEN DOSSA)Kwa kucheza rafu mbaya na kupelekea kupata kadi hiyo hata hivyo mchezaji huyo hakulidhika aliinua mkono yake na kumtwanga ngumi kali mwamuzi wa pambano hilo ambapo mwamuzi makonde yalipomzidi aliamua kumaliza mechi na ushindi ukawa umekwenda kwa GAME OVER Na Fainali itapigwa jumapili ya wiki hii Saa kumi Jioni Ambapo GAME OVER Watapambana na MANOVA ambao walipita kwa kuifunga timu ya GANDI Nusu Fainali.

Saturday, November 30, 2013

WAJAMAA

Madrid,voca 36,stick

wakiwakilisha wajamaa wapiga picha za ukumbusho hukooooo Temeke