Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu msikiti mkuu wa Ijumaa Gongoni mjini Tabora wakati wa tukio la kuvunjwa milango ya msikiti huo unaodaiwa kufungwa na baadhi ya viongozi walioondolewa madarakani na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Shaaban Issa Simba kwa madai ya kukiuka utaratibu wa Baraza kuu la Waislam Tanzania Bakwata,ambapo Mufti aliongoza tukio la kuvunja milango ya msikiti huo jambo ambalo lilipingwa vikali na baadhi ya waumini wanaowaungamkono viongozi waliosimamishwa akiwemo Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora Shaban Salum. |
No comments:
Post a Comment