Inawezekana alianza kuimba siku nyingi ila kwa sasa ndio imetambulika rasmi kupitia vyombo vya habari kwamba mama huyu anaimba, muziki anaoimba ni wa Injili.
Unaweza kutumia sekunde 32 za hii single ya Carol Maraj iitwayo ‘God’s been Good’ alafu uniandikie chochote kama mama katisha mama huyu ambae pia ni mwandishi wa nyimbo.
Nicki Minaj ana umri wa miaka 31 sasa hivi, huyu hapa chini ni mama yake miaka kadhaa iliyopita.
No comments:
Post a Comment