Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo ambaye pia aliwakilisha Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katika mapokezi ya Kifimbo cha Malkia Bi. Juliana Yassoda (katikati) akipokea Kifimbo hicho kutoka kwa Mke wa Rais wa Kamati ya Olympic Tanzania Bi. Anna Bayi leo jijini Dar es Salaam,.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Dianna Patricia Melrose akiwa na Rais wa Kamati ya Olympic Tanzania (TOC) Filbert Bayi (mwenye miwani) wakiwa na watoto waliofika uwanja wa ndege kupokea Kifimbo cha Malkia leo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Kamati ya Olympic Tanzania (TOC) Filbert Bayi akiwa katika picha na vikundi vya ngoma vilivyotumbuiza wakati wa mapokezi ya Kifimbo cha Malkia leo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Kamati ya Olympic Tanzania (TOC) Filbert Bayi akiwa katika picha na vikundi vya ngoma vilivyotumbuiza wakati wa mapokezi ya Kifimbo cha Malkia leo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment